Matukio : NMB Lindi yapata washindi wa mchezo wa Pata Patia. - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Jun 2016

Matukio : NMB Lindi yapata washindi wa mchezo wa Pata Patia.


 Bw Ramadhan Chaurembo kutoka Manispaa ya Lindi Akizungusha Gurudumu la Mchezo wa Pata Patia Unaoendeshwa na Benki ya NMB Kwa Wateja wake Mchezo ambao Kila Mshiriki lazima Ashinde kati ya shilingi Laki Moja hadi Milioni 3.
 Mwl Mstaafu,Mohamed Mng’umba Mteja wa NMB Tawi la Kilwa Nae Akizungusha Gurudumu la Mchezo wa Pata Patia na Kuibuka Na Ushindi wa Pesa Taslim shilingi Laki 4 (400,000/-)
 Kaimu Meneja Nmb Tawi la Lindi Akikabidhi Hati ya Malipo ya Shilingi Milion 1 kwa Bw Seleman Mkonga Mteja wa Tawi la Masasi.Shindano hilo limefanyika katika Tawi la Lindi na Kushudiwa na wateja wengine
Bi Betty Joel Lameck Mteja wa NMB Kilwa Akipokea Hati ya Malipo ya Shilingi Laki 4 Toka Kwa Kaimu Meneja wa Tawi NMB Lindi mara baada ya Kumalizika kwa Mchezo wa Pata Patia Unaoendeshwa na Benki Hiyo Kwa Wateja Wake.
Kaimu Meneja wa NMB Tawi la Lindi,Rose Lwenje (kushoto)Akikabdhi hati ya Malipo ya shilingi Laki 4 kwa Mwl  Mohamed Mng’umba baada ya Kuibuka na Ushindi katoka Shindano Lilifanyika katika Tawi la Lindi Na kushirikisha wateja 4 kutoka matawi Mengine.
Bw Ramadhan Chaurembo akipokea Pongezi toka kwa washiriki wenzake baada ya Kuibuka na Kitita cha Shilingi Milioni 3 Katika Shindano la Pata Patia..Katika Mchezo Huo bw Nurudin Seleman Mkonga Kutoka Tawi la Masasi Alishinda shilingi Milion 1,Betty Joel Lameck na Mohamed Mng’umba,Kutoka Tawi la Kilwa Wakijishindia Shilingi Laki 4 Kila Mmoja.
Kaimu Meneja wa Tawi la NMB Lindi,Rose Lwenje Akikabdhi Hati ya Malipo ya Shilingi Milioni 3 Kwa Mteja wa Benki Hiyo Bw Ramadhan Chaurembo Baada ya Kuibuka Mshindi wa Shindano la Pata Patia.
Baadhi ya Washiri,Wateja na Wafanyakazi wa NMB Lindi Wakishuhudia Mchezo Unavyoendelea ambapo Kila Mshiri Alishinda.
PICHA ZOTE NA Abdulaziz Ahmeid wa Lindi

Post Top Ad