Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Sunday, 21 December 2025

Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa


Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amekutana naye wakati akiwa katika ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Lindi.




No comments:

Post a Comment