Habari : Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ahutubia Maadhimisho ya Miaka 10 ya THRDC, Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 May 2022

Habari : Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ahutubia Maadhimisho ya Miaka 10 ya THRDC, Jijini Dar es Salaam

 11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wadau mbalimbali kwenye Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC katika hafla iliyofanyika ukumbi wa PSSSF Jijini Dar Es Salaam tarehe 13 Mei 2022.


8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa THRDC Jaji Mstaafu Joaquine De Mello kutokana na mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa Sheria katika kipindi cha mwaka mmoja tangu aingie madarakani.

7

5

4

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad