Matukio : Waziri, Nape akutana na Kuzungumza na Balozi wa Italia Nchini - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Jan 2017

Matukio : Waziri, Nape akutana na Kuzungumza na Balozi wa Italia Nchini



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni wakati alipotembelewa ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifanya mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni kuhusu mausuala mbalimbali ya habari ofisini kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifafanua baadhi ya masuala mbalimbali yanayohusiana na habari wakati alipofanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni ofisini kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.



Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akieleza masuala mbalimbali yanayohusiana na habari na utamaduni wa Italia wakati alipomtembelea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akimpatia Kadi ya Mawasiliano Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipomtembelea ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.




(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad