Matukio : Kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Sweden ilipowasili Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Sept 2016

Matukio : Kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Sweden ilipowasili Jijini Arusha


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,akisalimiana na balozi wa Sweden nchini Katarina Rangnitt alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha.Septemba 2,2016.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swideni walioambatana na balozi wa Swideni nchini Katarina Rangnitt (Hayupo pichani) wakiwa katika ofisi ya  Mkuu wa Mkoa Arusha

Mkuu wa Mkoa  wa Arusha Mrisho Gambo, akiwakwenye picha ya pamoja na balozi wa Swiden Katarina Rangnitt (kulia) na wakushoto ni kiongozi wa kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swideni Matilda lrnkarns.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na KatibuTawala wa Mkoa Richard Kwitega wakiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swiden,walipotembelea ofisi za Mkoa  Arusha. 

Kamati hiyo inalengo lakujifunza maeneo mbalimbali yanayofaa kwa uwekezaji hususani kwenye kilimo katika Mkoa wa Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad