Viongozi
mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika
uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Uchumi na Ushiriuka.Mhe Haroun Ali Suleiman kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa kabla kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi kabla ya
kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja
Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioungia
umati kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia
mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Mafundi
mitambo wa AZAM TV wakiongozwa na Mehboub Al Hadad wakiwa tayari
kurusha live mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa Demokrasia mjini
Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Shekhe
akitoa mawaidha kabla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia
mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na viongozi wengine wakiwa
katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru
Shekhe wakati wa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini
Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Shekhe
akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na
Muungano) Mhe. January Makamba na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa Dkt Hussein Mwinyi
Jukwaa kuu
Wasomautenzi walisisimua umati
Wasoma utenzi wakipongezwa jukwaa kuu
Sehemu ya viongozi mbalimbali wakifuatilia mkutano

Risala
Pongezi kwa msoma risala
Bendi ya vijana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisoma muhtasari wa shughuli na kutambulisha wageni
Sehemu ya umati mkubwa uliojitokeza
Umati
Nyomi
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitambulishwa
Mke wa Rais wa Zanzibara Mama Mwanamema Shein akitambulishwa
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akitambulishwa
Mawaziri wakitambulishwa
Viongozi wa vyama mbalimbali wakitambulishwa
Bw. Hafidh Ameir, mume wa Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akitambulishwa
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee akitambulishwa
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakitambulishwa
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisoma muhtasari wa shughuli na kutambulisha wageni
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akisalimia viongozi
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akitambulishwa jukwaani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
wakiongea
Mama Fatma Karume akitambulishwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
wakiongea, Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisalimia
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akisalimia wananchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri akisalimia
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai akisalimia
Umati ukshangilia
Furaha
Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akisalimia
Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akipongezwa
Mwananchi akifurahia hotuba
Umati ukifuatilia hotuba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja
Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akikaribishwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
kuhutubianmkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja
Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016

Jukwaa
kuu wakifurahia jambo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe akihutubia Magufuli mkutano wa hadhara katika uwanja wa
Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Jukwaa kuu likifurahia hotuba
Viongozi wakifurahia
Umati
wa wnanchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa
Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Umati ukisikiliza kwa makini hotuba hiyo
Umati ukifurahia
Umati
ukilipuka kwa nderemo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa
Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Umati ukilipuka kwa nderemo
Nderemo uwanja mzima
Umati ukishangilia kwa nguvu
"....Sema baba semaaaaaaa....."
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Nderemo na vifijo
"....Tuko pamoja babaaaaa...."
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada
ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini
Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri
Dua ikisomwa baada ya mkutano kumalizika
Umati ukiitikia dua
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mstaafu Mhe. Pandu Ameir Kificho akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri
Mama Fatma Karume akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba nzuri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na makamanda wa FFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisubiriwa kuagwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kada mashuhuri wa CCM Visiwani Zanzibar Mzee Borafia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana makamanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji zanzibar, Johari Sururu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na makamanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioungia
mkono kuaga katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Manai Karume
baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini
Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Akiaga kwa unyenyekevu
No comments:
Post a Comment