Matukio : Azania Bank Tawi la Moshi yawafuturisha wateja wake - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 July 2016

Matukio : Azania Bank Tawi la Moshi yawafuturisha wateja wake


Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi Hajira Mmambe akiwakaribisha wageni kupatra futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick na Mkuu mpya wa wilaya ya Moshi,Kipi Warioba pia walikua ni miongoni mwa wageni waalikwa.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza wakati wa Futuru iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi .
\Baadhi ya wageni wakifuatilia hotuba iliyoyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick (hayupo pichani) wakati wa Futuru iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.
Meneja wa Azania Benk tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akiwakaribisha wageni katika Futuru iliyoandaliwa kwa wateja wa benki hiyo,hafla fupi iliyofanykika katika uwanja wa gofu wa Moshi maarufu kama Moshii Club.
Viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick walijumuika katika hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipata Futari.
Mkuu mpya wa wilaya ya Moshi ,Kipi Warioba akisalimiana na baadhi ya wageni walioshiriki hafla hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi blog.

No comments:

Post a Comment