Matukio /Dini : Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel Chongolo atoa mkono wa Eid kwa Masheikh wa Msikiti wa Namanga, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


7 Jul 2016

Matukio /Dini : Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel Chongolo atoa mkono wa Eid kwa Masheikh wa Msikiti wa Namanga, Arusha


 Mkuu wa wilaya ya Longido Bw. Daniel Chongolo (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi za Idd kwa Masheikh wa misikiti ya mji wa Namanga na Longido mjini wilayani Longido ,mkoani Arusha. Mh Chongo amekabidhi  zawadi hizo kwa misikiti 6 iliyopo wilayani Longido.
 Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Bw. Daniel Chongolo akikabidhi zawadi za sikukuu ya Idd kwa Masheikh wa Misikiti ya Namanga na Longido mjini. Mkuu huyo wa wilaya pia ametumia nafasi hiyo kujitambulisha kwao.

Post Top Ad