Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir
wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la
Eid El fitri lililofanyika katika viwanja hivyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum
mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya
kuwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid Elfitri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri Mkuu Kassim
majaliwa wakati walipokuwa wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza
la Eid Elfitri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Baraza la Eid
Elfitri.
Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir akimshukuru Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kuhutubia katika Baraza hilo.
Waumini wa dini ya kiislamu wakifatilia kaswida iliyokuwa ikiimbwa katika viwanja hivyo vya Karimjee.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wakifatilia hotuba hiyo ya mgeni rasmi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaiomba dua pamoja na Mufti Mkuu Sheikhe Aboubakar Zubeir.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza kuhutubia
katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na mtoto Asma Maulid baada
ya kuhubia Baraza la Iddi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa
dini ya Kiislam waliohudhuria Baraza la Iddi alilolihutubia kwenye
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Julai 6,2016
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment