Matukio : Taswira mbalimbali ya Waziri , Prof. Maghembe alipofungua mkutano mkuu wa TANAPA na waandishi wa Habari waandamizi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 8 June 2016

Matukio : Taswira mbalimbali ya Waziri , Prof. Maghembe alipofungua mkutano mkuu wa TANAPA na waandishi wa Habari waandamizi


Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa maelezo ya awali kuhusu mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ,Mkutanoo unaofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Wahariri na Wanahabr waandamizi wakiwa katika mkutan huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa mkutano  wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari 
Baadhi ya Wahariri na Wanahabari waandamizi wakiwa katika mkutano huo unaofanyika ukumbi wa Veta mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Kebwe Stephen Kebwe akizungumza wakati  ufunguzi mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari 
Baadhi ya wawasilishaji wa mada katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari 
Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa (TANZANIA) na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ,mkutano unaofanyika katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakifanya utamburisho .
Mhariri Mtendaji wa Kaampuni ya New Habari (2006) Ltd ,Absalom Kibanda akitoa neno la shukrani mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo kufanywa na Waziri wa Maliasili na Utalii ,Prof Jumanne Maghembe.
Washiriki wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Malialisili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe pamoja na viongozi wengine wa serikali na TANAPA.

N a Dixon Busagaga wa Michuzi Blog .

No comments:

Post a Comment