Mahakama Zetu : Waziri Migiro Afungua Rasmi Mkutano wa Majaji wa Mahakama ya Tanzania, Jijini Mwanza - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 November 2014

Mahakama Zetu : Waziri Migiro Afungua Rasmi Mkutano wa Majaji wa Mahakama ya Tanzania, Jijini Mwanza


Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro, WAZIRI wa Katiba na Sheria akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Majaji katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,Maudhui ya Mkutano huo ni kujitathmini Kama njia bora ya kuboresha Mahakama. Mhe. WAZIRI amefungua Mkutano huo kwa niaba ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa Maelezo zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment