Maisha : Mahojiano na Chef Issa Kapande toka Sweden - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Jun 2016

Maisha : Mahojiano na Chef Issa Kapande toka Sweden


Chef Issa ma ma-Chef  wa timu ya Stockholm, Sweden, waliposhiriki na kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi  2014 yajulikanayo kama  Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014  yaliyofanyika nchini Luxemborg.
Chef Issa Kapande ni mpishi maarufu na mmiliki wa mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania nchini Sweden, unaojulikana kama Tanzania Restaurant
Alikuwa mkarimu sana kujiunga na Mubelwa Bandio kuzungumzia safari yake katika fani ya upishi na mpaka alipofikia.
Karibu ujiunge nasi kusikilizaPost Top Ad