WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA KIWANDA CHA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI MJINI MOSHI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 30 November 2011

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA KIWANDA CHA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI MJINI MOSHI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi wa kiwanda kipya cha Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries SBL kilicho katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. uzinduzi huo umefanyika leo mjini Moshi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda akizungumza akihutubia katika uzinduzi huo uliofanyika leo mjini Moshi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda akipanda mti pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Makampuni ya EABL Bw.Seni Adetu kulia mara baada ya kuzinduliwa kwa kiwanda hicho.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea zawadi yake kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Mark Bomani
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL.
Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells akihutubia wageni waalikwa katika waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Mark Bomani akikaribisha wageni waalikwa katika uzinduzi huo mjini Moshi.
Mkurugezi wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Teddy Mapunda akitambulisha wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo leo mjini Moshi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungushwa katika maeneo ya kiwanda mara baada ya kuzindua kiwanda hicho leo, anayeongoza msafara huo mbele ni Mkurugezi wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Teddy Mapundani
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia bia ya Serengeti inayozalishwa na kiwanda hicho kulia ni Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tayrol, kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Makampuni ya EABL Bw. Seni Adetu na katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo Teddy Mapunda.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tayrol, kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa SBL Richard Wells.
Eneo la la uzalishaji bia ya Serengeti.
Waziri Mkuu akitembelea kiwandani hapo na uongozi wa kampuni hiyo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Serengeti SBL Ephraim Mafuru katikati ni Mkurugenzi wa Utawala Eric Adadevoh.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Kampuni bia ya Serengeti SBL.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Richard Wells Mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mzee Christopher Gachuma mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa SBL.
Waziri Mkuu wa akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Serengeti SBL Mzee Mark Bomani kulia, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Leonidas Gama.
Waziri wa kenya anayeshughulikia Wizara ya Nairobi Metropolitan Development akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bw Richard Wells kulia wakati alipowasili katika uzinduzi huo mjini Moshi.
Viongozi waandamizi wa kampuni ya SBL kutoka kulia ni Ajey Mehta Mkurugenzi wa Miradi Maalum (EABL), Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru, mmoja wa wasambazaji wakubwa wa bia ya Serengeti Mkoani Kilimanjaro Bw. Machali, Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa SBL Bw. Christopher Gachuma na Eric Adadevoh Mkurugenzi wa Utawala (SBL). 
na Fullshangwe blog

No comments:

Post a Comment