Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip
Mpango akitoa hotuba katika mkutano wa uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo
wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma
kilichofanyika mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha Muongozo wa
Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma (Public
Investment Management Operational Manual), kulia ni Kaimu katibu mtendaji wa
Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri na kushoto ni katibu tawala wa Mkoa wa
Dodoma Bibi Rehema Madenge.
Wataalamu wa uchumi, sera na mipango wakiwa katika hali ya umakini wakati wakifuatilia kinachoendelea wakati wa mkutano.
Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wa tano kutoka kushoto kwa waliokaa)
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano mara baada ya uzinduzi wa kitabu
cha Muongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta
ya Umma.
Kaimu naibu
katibu mtendaji kutoka Tume ya Mipango anayesimamia klasta ya uchumi jumla, Dk.
Lorah Madete akijibu hoja zilizotolewa na
wajumbe katika kipindi cha majadiliano.
No comments:
Post a Comment