Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Machi, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
NIC Insurance Yahimiza Wamiliki wa Vyombo vya Moto Kukata Bima kwa Usalama
wa Mali Zao
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya NIC Insurance imewahimiza wamiliki wa vyombo vya moto nchini
kuhakikisha wanakata bima ili kujikinga na athari za kifedha z...
2 hours ago






No comments:
Post a Comment