|
Mwenyekiti
wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Phelemoni Ndesamburo akisalimiana na
aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ,Godluck Ole Medeye
walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)kwa ajili
ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA na Chadema,Edward Ngoyai ,Lowasa. |
|
Mwenyekii wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na James Lembeli walipokutana uwanja wa Ndege wa KIA. |
|
Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasni akizungumza jambo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Godluk Ole Medeye. |
|
Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye akiteta jambo
na Henry Kilewo mtia nia waubunge jimbo la Mwanga. |
|
Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi,Laurance Masha akisalimiana na Katibu wa Chadema kanda ya Kasakazini,Aman Golugwa. |
|
Masha akisalimana na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema, |
|
Mzee
Ndesamburo akiwaongoza makada wengine wa chama hicho kwa ajili ya
mapokezi ya mgombea Urais kupitia UKAWA alipowasili uwanja wa ndege wa
KIA. |
|
Mwenyekiti
Mwenza wa UKAWA james Mbatia akishuka katika ndege maalumu iliyobeba
iongozi wa UKAWA pamoja na mgombea Urais kupitia umoja huo Edward
Lowassa. |
Mgombea Urais kupitia vyama vinavyounda
Umoja wa Katiba ya wananchi ,UKAWA, na Chadema,Edward Lowasa akishuka
kenye ndege ya kukodi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa KIA.
|
Mwenyekiti
mwenza wa UKAWA na Chadema taifa,Freeman Mbowe akisalimiana na baadhi
ya viongozi waliofika kwa ajili ya mapkezi ya mgombea Urais. |
|
Mgombea Urais ,kupia UKAWA,Lowasa akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema. |
|
Mgombea Urais ,akipokea maua kutoka kwa watoto waliofika uwanjani hapo kwa ajili ya mapokezi. |
Mgombea Urais ,akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo,Joseph Selasini.
|
Mgombea Urais akisalimiana na msadizi wa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia,Bw,Hamis Athuman. |
|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akisalimiana na baadhi ya viongozi. |
|
Mgombea Urais,Edward Lowasa akiongozana na iongozi wengine kutoka uwanja wa ndege wa KIA.
Na Dixon Busagaga
|
No comments:
Post a Comment