Elimu Yetu : Mahafali Darasa la Saba Shule ya Msingi St. Mary's Jijini Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 18 August 2015

Elimu Yetu : Mahafali Darasa la Saba Shule ya Msingi St. Mary's Jijini Mbeya

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya Picha na Jamiimojablog




Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest Jijini Mbeya




Wazazi na walezi


Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.


Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakipatiwa zawadi nauongozi wa shule hiyo.





Wazazi wakitoa pongezi zao kwa watoto wao ambao wamehitimu elimu ya msingi darasa la saba katika shule hiyo ya kimataifa ya St.Marys Forest jijini Mbeya







No comments:

Post a Comment