Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 24, 2024. Mkoa wa Mbeya, Iringa na Halmashauri ya Mpwapwa Mkoani Dodoma inataraji kuanza uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Desemba 27 mwaka huu hadi Januari 02, 2025. (Picha na INEC).
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI KWA UFANISI
-
*Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohammed
Abubakar akihutubia wakati wa ufungaji wa mafunzo Mkoani Tabora leo tarehe
01 Oktoba, ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment