Mkuu
wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza kampeni ya
kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa
Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo inayoendeshwa
na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na
vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika katika stendi ya mabasi
ya Nyegezi jijini Mwanza.
Mkuu
wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza Kamanda
Mohamed Likwata akiwapatia maelezo baadhi ya abiria waliokuwa
wakisafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni
hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
Abiria
Aaron Yuda Mkazi wa jijini Mwanza(kushoto)aliyekuwa akisubiria basi la
kwenda Bukoba akimfafanulia jambo maofisa wa jeshi la polisi kikosi cha
Usalama Barabarani mkoani humo wakati wa zoezi la kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni
hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
Baadhi ya abiria wakiwa tayari kwa safari yao ya kwenda Bukoba mkoa wa Kagera kutoka Jijini Mwanza baada ya kupatiwa elimu na
jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na
Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania.Kampeni hiyo ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
Maofisa wa jeshi
la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza wakishiriki
katika kubandika stika kwenye mabasi yaendayo mikoani wakati wa kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni hiyo
inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
Mkuu wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza Kamanda Mohamed Likwata akibandika
stika yenye namba 0800757575ambayo imetolewa mahususi kwa abiria
wanaotumia vyombo vya moto kusafiria kutoa taarifa bure kupitia namba
hizo kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni
hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment