Naibu
Katibu mkuu wa Chadema Taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu
akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa wa Kilimanjaro
yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo.
|
Baadhi
ya wanachama wa Chaso kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro
wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa Chadema taifa,upande wa
Zanzibar Salum Mwalimu wakati wa sherehe za umoja huo.
|
Wakili
wa kujitegemea Elikunda Kipoko (katikati) akisikiliza kwa makini hotuba
ya Naibu katibu mkuu Zanzibar ,Salum aliyoitoa wakati wa mahafali ya
kuhitimu kwa wanafunzo wa vyuo vikuu ,wanachgama wa Chaso.
|
Mbunge
wa Viti maalum Lucy Owenya (Chadema) katikati akiwa na Diwani wa kata
ya Longuo ,Raymond Mboya (Kushoto) na kulia kwake ni aliyekuwa katibu wa
Chadema wilaya ya Moshi vijijini.Aquiline Chuwa .
|
Aliyekuwa katibu wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini,Aquilene Chuwa akizungumza katika mahafali hayo.
|
Naibu
katibu mkuu Chadema Zanzibar,Salum Mwalimu akitunuku yeti kwa wanafunzi
wana tarajia kumaliza elimu ya chuo kikuu ambao ni wanachama wa Chaso
mkoa wa Kilimanjaro.
|
Mratibu
wa Chaso aliyemaliza muda wake ,Ibrahim Chotola akizungumza wakati
akiaga nafasi hiyo rasmi na kukabidhi kwa mratibu mpya wa Chaso mkoa wa
Kilimanjaro.
|
Chotola akifanya utambulisho wa mratibu mpya wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro Malijoel Mali.
|
Mratibu
mpya wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro ,Malijoel Mali akitoa salamu ya chama
chake mara baada ya kukabidhiwa rasmi mikoba ya kufanya shughuli za
Umoja huo. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.
|
No comments:
Post a Comment