Siasa Zetu : Mhe. Edward Lowassa Achukua Fomu ya Kugombea nafsi za Urais 2015, Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 5 June 2015

Siasa Zetu : Mhe. Edward Lowassa Achukua Fomu ya Kugombea nafsi za Urais 2015, Dodoma


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akipokea mkoba ulio na fomu za Urais kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi mjini Dodoma jana. Lowassa aliambatana na mkewe pamoja na makada kadhaa wa chama cha Mapinduzi.
Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli akionesha mkoba wake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Oganaizesheni ya CCM, Mohamed Seif Khatib.
Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana baada ya kuchukua fomu. Pamoja nae ni mkewe Regina Lowassa. 
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tyayari ametangaza nia ya kuwania urais kjupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama hicho, alikuwa Mzee Pankrans Ndejembi, ambaye alimdhamini. Kulia ni mkewe mama Regina
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tyayari ametangaza nia ya kuwania urais kjupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama hicho, alikuwa Mzee Pankrans Ndejembi, ambaye alimdhamini.
Lowassa, akiwapungia wanachama wa CCM na wafuasi wake kadhaa waliofika kutaka kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini
Akingoe na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu
Lowassa, akisikilzia maswali ya waandihi wa habari
Lowasa akipungia wafuasi kadhaa wa CCM na wanachama wa chama hicho, waliofika kumdhamini

Mwenyekiti wa CCM, Shinyanga, Hamisi Mngeja, akizungumza wakati Lowasa, alipofika ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini kusaka wadhamini
Lowassa, na mama Regina wakishuhudia wakati Mzee Pankrans Ndejembi, alipokuwa akijaza fomu ya kumdhamini mtangaza nia huyo wa CCM anayeomba kuteuliwa na CCM kuwania urais mwaka huu 2015
Mama Regina Lowassa, mke wa Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimia wanachama na wafuasi wa CCM na wananchi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma,
Wanachama wa CCM, wakishangilia wakati Mtangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho, Edward Lowassa, alkipofika kuomba wadhamini, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma

Lowassa akisalimiana na mwanachama huyu wa CCM, aliyefika kumdhamini
Mzee Pankrans Ndejembi, (Kulia), akizungumza kwenye mkutano huo wa Lowassa kjuomba wadhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma

No comments:

Post a Comment