Wakazi
wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa
Wilaya hiyo Mh. Zipporah Pangani, alipokuwa akiwaelewesha juu ya maradhi
ya Fistula wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi hayo
wilayani humo.Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na
Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza
wanaume kuwaruhusu akina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo
kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka
hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Mkuu
wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Mh.Zipporah Pangani( katikati)
akimsikiliza kwa makini Mwajuma Rashid wakati alipokuwa akiwasomea moja
ya kipeperushi kuhusiana na ugonjwa wa Fistula.,Kampeni hiyo
inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea
kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume kuwaruhusu wakina
mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika.
Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo
wanapojifungua.
Mkuu
wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Mh.Zipporah Pangani( katikati) na
Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon
(kushoto)wakimsikiliza Meneja Mawasiliano wa Hospitali ya CCBRT Abdul
Kajumulo,wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya
Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa
na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika
mikoa mitatu.Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na
maradhi hayo wanapojifungua.
Baadhi
ya wakazi wa Wilaya ya Igunga MKoani Tabora waliojitokeza kwenye uwanja
wa Sokoine wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya
Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa
na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika
mikoa mitatu nchini kuwataka wanawake wenye maradhi hayo kujitokeza
kupata matibabu. Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa
na maradhi hayo wanapojifungua.
Mmoja
wa wasanii wa kundi la Mjomba Bendi Maria John akiigiza kwa hisia kali
kwa wakazi wa Igunga waliofurika katika uwanja wa Sokoine wakati wa
kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowakabili
wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na
Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu
kuwasisitiza akina mama wenye maradhi hayo kujitokeza kutibiwa.
Wanafunzi
wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya Igunga Mkoani Tabora,Asha
Omari (kushoto) na Fatma Juma wakisoma kipeperushi walichogawiwa wakati
wa kampeni ya maradhi ya Fistula iliyofanyika mkoani humo,Kampeni hiyo
inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea
kufanyika katika mikoa mitatu ya hapa nchini na akina mama wenye maradhi
hayo wanahimizwa kujitokeza wakatibiwe. Inakadiriwa wastani ya wanawake
3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
No comments:
Post a Comment