Mkurugenzi
mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan
(wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari
inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton,
Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto).
Mkurugenzi
wa Mauzo na Masoko wa Double Tree by Hilton, Bw. Florenso
Kirambata(kushoto) akifanya usafi wa mazingira katika fukwe
inayoizunguka hoteli hiyo ya jijini Dar es Salaam huku akiwa pamoja na
mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo.
Baadhi ya uchafu uliokuwa katoka fukwe ya Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree by Hilton ya jijini Dar.
Wafanyakazi wa hoteli ya Double Tree ya jijini Dar es Salaam wakifanya usafi maeneo yote yanayoizunguka hoteli hiyo
Wafanyakazi
wa hoteli ya Double Tree ya jijini Dar es Salaam wakiongozwa na
Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania,
Bw.Ian Mclachan (wa kwanza kulia) wakiwa na mifuko ya uchafu katika
picha ya pamoja mara tu ya kumalizika kwa usafi uliofanyika kwenye fukwe
zinazoizunguka Hotel hiyo.
Wafanyakazi wakiweka uchafu kwenye gari la kubebea taka mara baada ya kumaliza kufanya usafi
Viongozi
na wafanyakazi wa Hoteli ya Double Tree by Hilton ya jijini Dar es
Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Hotel hiyo mara baada ya
kumaliza kufanya usafi. Picha na Geofrey wa Pamoja Blog
No comments:
Post a Comment