Mkurugezi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifungua semina ya
Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICCjijini Arusha leo.
Mwrnyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mwanahisa akiuliza swali.
Wajumbe wa bodi.
Katibu wa Benki, John Rugambwa akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Wanahisa.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina hiyo.
Wanahisa.
Wanahisa wakifuatilia semina hiyo.
Meneja
Mwandamizi Huduma za Uwakala, Jessica Nyachiro akitoa mada kuhusu Fursa
kupitia Uwakala wa Benki ya CRDB, wakati wa semina ya Wanahisa wa
benkihiyo iliyofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Masoko Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa (kushoto) akifuatilia semina hiyo.
Prof.
Mohamed Warsame kutoka Kampuni ya Dhow Financials akitoa mada kuhusu
Ukuzaji wa Mitaji kwa Kampuni iliyoorodheshwa Soko la Hisa.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Amiry Matumla Atamba Kumchapa Mnamibia
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MCHEZAJI wa ngumi za kulipa nchini Amiri Matumla ambaye ni mtoto wa Bondia
Mstaafu; Rashidi Matumla amejitapa kumchapa mpin...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment