Kimataifa : Rais Dkt. Samia awasili Jijini Moscow nchini Urusi kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Wednesday, 3 June 2026

Kimataifa : Rais Dkt. Samia awasili Jijini Moscow nchini Urusi kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, uliopo Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa, nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026. Ziara hii ina lenga kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia, kisiasa, kiuchumi na kihistoria baina ya Tanzania na Urusi.

No comments:

Post a Comment