Gavana
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya
Afrika,Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akitetajambo na Mawaziri wa Fedha
mbalimbali waliohudhuria mkutano huo Mjini Abijah-Ivory coast.
Baadhi
ya Marais wa Afrika waliohudhuria mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mjini Abijah-Ivory coast.
Rais
wa Benki wa Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka akiwa kwenye
kikao na Magavana wa Afrika wakijadiliana changamoto mbalimbali za
maendeleo zilizojitoketeza katika nchi za Afrika Mjini Abijah- Ivory
coast.
Gavana
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika,
Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali akisikiliza majadiliano kwenye kikao cha magava
wa nchi za Afrika wakati wa kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo
Mjini Abijah-Ivory.
Gavana
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika,
ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali
Dkt. Servicus B.Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania waliohudhuria
mkutano wa majadiliano pamoja na Mkurugenzi Mkuu Bw. Gabrriel Negatu wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika Abijah-Ivory coast.
Gavana
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika,
Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mlipaji akitoa ufafanuzi kwa Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Ngosha Magonya
akiwa pamoja na Afisa Mwandamizi Bw. John L. Sima Mjini Abijah-Ivory
Coast.
Kamishina
wa Fedha za Nje Bw. Ngosha Magonya akitoa ufafanuzi wa maswala
mbalimbali yanayohusu Benki ya Maendeleo ya Afrika katika miradi
mbalimbali ya Tanzania Mjini Abijah- Ivory Coast. Aliyekushoto kwake ni
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya
Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali.
Kamisha
wa Fedha za Nje wa Zanzibar Bi. Bihindi N.Khatibu akiwa kwenye mkutano
siku ya kufunga kwa mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)Mjini
Abidjan-Ivory Coast.
Rais
Mpya wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina
akihutubia na kutoa shukrani kwa wajumbe kwa kuchanguliwa kuwa rais wa
benki hiyo Mjini Abidjan-Ivory Coast.
Rais
Mpya wa Benki wa Maendeleo ya Afrika(AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina akiwa
pamoja na baadhi ya marais kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB)
Mjini Abidjan-Ivory Coast.(Picha zote na Scola Malinga-Abidjan).
No comments:
Post a Comment