Mlinda
mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka
mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro
Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda
lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni
rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry
Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1.
Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo
Mshambuliaji
wa timu ya Gazeti la Jambo Leo, Ali Salum (katikati) akifunga bao la
kwanza dhidi ya Bodaboda FC,wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika
kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi katika
tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa.Jambo Leo
ilishinda mabao 2-1.
Slaa akiwasalimia wachezaji wa timu hizo mbili
Wachezaji
wa timu ya Gazeti la Jambo Leo, wakifanya mazoezi ya kupasha mwili muda
mfupi kabla ya kuvaana na timu ya Bodaboda FC ya Wilaya ya Ilala,
wakati wa Tamasha la Bodaboda kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es
Salaam leo. Katika mechi hiyo, Jambo Leo ilishinda mabao 2-1.
Kikosi cha timu ya Gazeti la Jambo Leo kilichopambana na Bodaboda FC
Meya
wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa pili kulia), akisalimiana na
wachezaji wa timu ya Gazeti la Jambo Leo, muda mfupi kabla ya timu hiyo
kukipiga na timu ya Bodaboda FC ya Wilaya ya Ilala, wakati wa Tamasha la
Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam
jana.Jambo Leo ilishinda mabao 2-1.
Meya
wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto), akisalimiana na wachezaji
wa timu ya Bodaboda FC , muda mfupi kabla ya timu hiyo kukipiga na timu
ya Gazeti la Jambo Leo, wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika
kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam
Silaa akitoa mawaidha kwa timu hizo kabla ya mechi kuanza
Mchezaji wa timu ya Jambo Leo, Frank Balile (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Bodaboda, Sharif Mohamed
No comments:
Post a Comment