Tasnia
ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa
TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya
kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini
Dodoma juzi.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
Blogu ya Wazalendo 25 Blog Inawapa Pole Familia ya Samwel Chamlomo
No comments:
Post a Comment