Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifungua Kongamano
la Kimataifa la Siku 3 la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za
Afrika na 18 kutoka nje ya Bara la Afrika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa awali akizungumza
na Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za Afrika na 18 kutoka nje ya
Bara la Afrika waliohudhuria Kongamano la Siku 3 la Kimataifa kujadili
Matumizi ya Takwimu leo jijini Dar es salaam.
Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair akizungumza kabla ya uzinduzi wa Kongamano la Kimataifa la masuala ya Takwimu la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa kutoka Afrika na nje ya Afrika.
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizindua kitabu kinachoeleza Maendeleo na
historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar
es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw.
Vijay Nair na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kushoto
kwa Waziri Mkuu na Prof. Ben Kiregyeza (kulia) ambaye ndiye mwandishi
wa kitabu hicho.
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akionyesha kitabu kinachoeleza Maendeleo na
historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar
es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw.
Vijay Nair na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS).
Waziri Mkuu akizungumza akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi za Takwimu kutoka nchi 32 za Afrika na 18 za nje ya Bara la Afrika waliohudhuria Mkutano wa siku 3 wa Takwimu jijini Dar es salaam.
Waziri
Mkuu akizungumza jambo na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya
Takwimu (ISI) Bi. Irena Krizman leo jijini Dar es salaam mara baada ya
kufungua kongamano
la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za Afrika na 18 kutoka nje ya
Bara la Afrika. Katikati ni mjumbe kutoka Afrika ya Kusini Bw. Pali
Lihohla.
Waziri Mkuu akizungumza akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kufungua kongamano la Kimataifa la Wakuu wa Taasisi za Takwimu kutoka nchi 32 za Afrika na 18 za nje ya Bara la Afrika.
Waziri Mkuu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kufungua kongamano la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 32 za Afrika na 18 kutoka nje ya Bara la Afrika.(Picha na Aron Msigwa Maelezo )
No comments:
Post a Comment