Michuzo/ Ngumi : Manny Pacquiao Awasili Las Vegas Tayari Kupambana na Floyd MayWeather - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 28 April 2015

Michuzo/ Ngumi : Manny Pacquiao Awasili Las Vegas Tayari Kupambana na Floyd MayWeather

 Ndege aliyosafiri nayo Pacquiao ikiwa uwanjani Philippines  
Pambano kati ya Mfilipino Manny Pacquiao na Mmarekani Floyd Mayweather linatarajia kufanyika tarehe May 2, 2015. LasVegas, Nevada. Pambano hilo linatarajia kuingiza zaidi ya kiasi cha $300million. 
 Msafara wa Manny Pacquiao ukitoka Los Angeles kwenda Las Vegas
 Basi la kifahari lililombeba Pacquiao lilisindikizwa na bikers kwenda Las Vegas
Instagram Selfie ya Pacquiao akiwa na mashabiki wake ndani safarini kuelekea Las Vegas
Manny Pacuiao amekua akijifua na kocha wake Freddie Roach, kwenye Freddie Roach Wild Card Gym huko Los Angeles, CA na baadae kusafiri umbali wa maili 270 ndani ya basi lake kuelekea Las Vegas, NV.

 Twitter Selfie ya Manny Pacquiao na Mkewe ndani ya basi kuelekea Las Vegas
 Manny Pacquia na mwanae wa mwisho, Israel, waliwasili katika hoteli ya Mandalay Bay tayari kujifua mara ya mwisho kabla ya mpambano huo.
Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI






Picha kwa hisani ya AP, AFP, Getty Images, yahoo news.

No comments:

Post a Comment