Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa
akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa
promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa
kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya
vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa
frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii
wakiishi ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA
au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa
maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna
mshindi mmoja anapatikana.Katikati ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo
Matina Nkurlu.
Meneja
wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni (kushoto),Ofisa Mawasiliano
wa kampuni hiyo Glory Mtui wakiwa katika pozi la picha na msanii wa
muziki wa kizazi kipya Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya
Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa ushirikiana na Green
Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa
muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha
ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika
promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na
utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali kuhusu huyo Staa na
unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
MC wa
uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa VJ Penny akiteta jambo na Ofisa
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa
promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana
na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana
chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya
kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili
kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR
kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali
kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja
anapatikana.
Msanii
mahiri wa bongp feva Barnabas akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Shamsa Hamud(kushoto)na Glory Mtui
wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na Vodacom
kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji
vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa
frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii
wakiishi ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA
au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa
maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna
mshindi mmoja anapatikana.
Ofisa
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui akicheza muziki na msanii
wa bongo fleva Barnabas wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa
inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa ushirikiano wa Green Telecom yenye
malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi
kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa
ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika
promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na
utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali kuhusu huyo Staa na
unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
Mwanamuziki
wa kizazi kipya Izzo Business akisalimiana na Ofisa Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi
Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom
yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na
muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa
ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika
promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na
utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali kuhusu huyo Staa na
unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
No comments:
Post a Comment