Wachezaji wa Simba wakishangilia na kumpongeza mwenzao Emmanuel Okwi,
baada ya kuifungia timu yake bao lililoiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa
bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
TEA YASHIRIKI SIKU MAALUM YA WATAALAMU WA UHASIBU
-
Wadau mbalimbali wakipata Elimu katika banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) wakati wa maonesho kwenye siku maalum ya Wataalamu wa Uhasibu (NBAA
Career...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment