Matukio : Dk. Gharib Bilal Amuaga Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma baada ya Kumaliza Ziara yake ya Siku Moja Nchini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 23 December 2014

Matukio : Dk. Gharib Bilal Amuaga Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma baada ya Kumaliza Ziara yake ya Siku Moja Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kushoto) na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani ya ngoma za asili, wakati wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Zuma alipokuwa akiondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja nchini

Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya kusini, akiondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma, Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati akiondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment