Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika, wakati alipowasili
kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania
kwa ajili ya kuzindua Taasisi hiyo iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angelah Kairuki,
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya
Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Tanzania Law School) ,
wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Desemba
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela
Kairuki, walipoingia katika chumba maalum cha mafunzo ya Uanasheria kwa
vitendo wakati wa uzinduzi wa Majengo ya Taasisi hiyo ya Mafunzo ya Sheia
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki, kwa pamoja
wakifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi katika Majengo ya Taasisi ya
Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi
wa majengo hayo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la viwanja vya Majengo ya
Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, baada ya kuzindua
rasmi majengo hayo yaliyopo eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi na
wanafunzi wa Taasisi hiyo, baada ya uzinduzi.
Baadhi
ya wafanyakazi Viongozi na wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya
uzinduzi huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, katika uzinduzi
huo
Sehemu ya wanafunzi kwenye uzinduzi huo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akizindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam |
Baadhi
ya Viongozi na wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo,
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, katika uzinduzi huo
Wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo
Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia, katika uzinduzi huo.
Picha na OMR
No comments:
Post a Comment