Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akiwapa mawaidha yake mafupi viongozi wa mchezo wa
Riadha walipofika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika hafla ya
kuwakabidhi vifaa alivyoviandaa kwa Mchezo huo katika Wilaya kumi za
Unguja na Pemba katika mpango wake wa kuimarisha na kuupa nguvu mchezo
huo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi vifaa vya Riadha Katibu wa mchezo huo Wilaya ya Magharibi
Unguja Othman Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya
Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikabidhi vifaa vya Riadha kwa Mwenyekiti wa mchezo huo Wilaya ya
Kaskazini B Unguja Juma Hassan Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa
mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo
Ikulu Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi vifaa vya Afisa Michezo Wilaya ya Kaskazini A pia mjumbe wa
Riadha Taifa Faida Salim Juma wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali
mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu
Mjini Unguja.
Sehemu ya viongozi mbali mbali.
Vifaa
vya Mchezo wa Riadha vikiwa katika utaratibu uliopangwa ambapo Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alivigawa kwa wawakilishi wa Mchezo huo katika Wilaya ya kumi za Unguja
na Pemba katika hatua zake za kuupa nguvu mchezo huo ikiwemo na michezo
mbali mbali hafla ya kukabidhi vifaa hivi ilifanyika ikulu Mjini Unguja
leo.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment