Wananachi
wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili
Wilaya ya Mtwara Vijijini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa
chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya
Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na
kuzitafutia ufumbuzi.
Kinana akizungumza wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Kibaoni, Mtwara Vijijini.
Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika Katika Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya Mtwara Vijijini
Mzee
Ismail Lumbeya (95), akisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia
katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Nanguruwe
Mnara wa Kumbukumbu ya Mwanajeshi wa Tanzania , Hamad Mzee aliyeuawa na ndege ya kivita ya wareno baada ya kuzitungua ndege mbili za kivita mwaka 1972 katika Kijiji cha Kitaya mpakani mwa Msumbiji na Tanzania wakati wa mapambano ya kuikomboa Msumbiji |
Kinana akitoa heshima katika mnara wa kumbukumbu shujaa Hamad Mzee katika Kijiji cha Kitaya, Mtwara Vijijini
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara katika Kata ya Kitaya
Ngoma ya asili ikitumbuiza wakati wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment