Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt. Juma Yakout Juma kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar.

Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bi Madina Mjaka Mwinyi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Hassan Khatib Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete
Pemba katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Haji Makungu Mgongo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B
Unguja katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar kabla
alikuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Khamis Jabir Makame kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini
Unguja katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa
Mkuu wa Wilaya Kaskazini B Unguja
Mawaziri
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Wilaya mbali mbali za
Unguja na Pemba pamoja na Manaibu Katibu Wakuu Wizara mbali mbali za
Serikali wakifuatilia kwa makini walipokuwa wakiapishwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mwanasheria
Mkuu wa Serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Hassan Said(kulia) akiwa
na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali ni miongoni
mwa Viongozi waliohudhuria katika Viapo mbali mbali vya Wakuu wa Wilaya
za Zanzibar na Katibu Mkuu na Manaibu Katibu wakuu wa Serikali
waliapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mawaziri
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Wilaya mbali mbali za
Unguja na Pemba pamoja na Manaibu Katibu Wakuu Wizara mbali mbali za
Serikali wakifuatilia kwa makini walipokuwa wakiapishwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment