Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipiga picha ya pamoja na viongozi wa
Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam ,baada ya
kukutana nao na kufanya mazungumzo wakati Viongozi hao walipomtembelea
Rais Kikwete ikulu.
Rais
Kikwete, akigana na wanamuziki wa Msondo baada ya mazungumzo yao na
kupiga picha ya kumbukumbu Ikulu. Picha na Fredy Maro
No comments:
Post a Comment