Rais
wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisaliniana na Mkuu wa KMKM KomodoreHaasan Mussa alipowasili katika
sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo
michezo mbali mbali zilizofanyika viwanja vya KMKM.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara
maaalum za SMZ Haji Omar Kheri katika sherehe za KMKM kwa ushindi wa
timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali
zilizofanyika viwanja vya KMKM
Mshindi
wa kwanza wa mbio za kilomita 10 Philip Jacob Mambo wa Mafunzo akifika
mfundani kutoka Kibweni KMKM hadi viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar
palipofanyika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015
Mshindi
wa kwanza wa mbio za makundi maalum ya watu wenye Ulemavu Ali Abdalla
kilomita 5 akifika mfundani kutoka Mtoni Mkapa Road hadi viwanja vya
Maisra Mjini Zanzibar palipofanyika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015
Kamanda Haidari akiwa kama kocha kwa Timu yake ya Makamanda waliostaafu wa KMKM katika sherehe za sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali
mbali kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,zilizofanikisha kwa mchezo wa
kuvuta Kamba na hatimaye timu hii ya wastaafu iliwashinda Maofisa walio
kazini kwa kuwatoa katika raund zote mbili leo viwanja vya Maisara
Kundi
la Watu wenye ulemavu wakiwa katika viwanja vya maisara katika
kusherehekea Sherehe za KMKM kwa kushinda timu zake misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,wakifuatilia kwa makini mwendelezo mzima wa sherehe hizo wakati mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mkuu
wa KMKM Komodore Hassan Mussa akizungumza machache na kumkaaribisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein azungumze na wapiganaji katika sherehe za ushindi wa timu zake
katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika viwanja
vya maisara Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na wapiganaji wa jeshi la KMKM katika sherehe za ushindi wa
timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika leo
viwanja vya maisara Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment