Maisha na Biashara : Kampuni ya TOYOTA TANZANIA Yawatunuku Wafanyakazi Wake Bora, Watatu Wajishindia Tiketi ya Kwenda Japan. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 3 November 2014

Maisha na Biashara : Kampuni ya TOYOTA TANZANIA Yawatunuku Wafanyakazi Wake Bora, Watatu Wajishindia Tiketi ya Kwenda Japan.



National Service Manager wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Jose Alvares (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi, kutoka Wakala wa Toyota Ltd, Patel Trading Ltd ya Jijini Mwanza, wakati wa Sherehe ya 'Toyota Skills Contest' na hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika shrehe hiyo pia walitangazwa washindi watatu waliopata tiketi za kwenda nchini Japan, ambao ni Anna Mzori, Peter Louis na Maria Robi.  
Katika hafla hiyo pia TOYOTA TANZANIA, ILIWATUNUKU WASHINDI WA SHINDANO LA SKILLS CONTEST-2014, WAFANYAKAZI BORA, WAFANYAKAZI WA MUDA MREFU NA KUWAAGA WAFANYAKAZI WASTAAFU.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (kushoto) na mgeni rasmi, Eng. Prisca Mkama, wakimkabidhi zawadi ya kikombe, mshindi wa tatu kwa uapande wa Service Advisors, Eva Joseph, kutoka Toyota Tanzania Ltd, Tawi la Arusha, wakati wa hafla ya 'Toyota Skills Contest' iliyofanyika sambamba na kuwapongeza na kuwatunuku wafanyakazi bora wa Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki.
Mgeni rasmi, Eng. Prisca Mkama, akimkabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza kwa upande wa 'Mechanics' wa 2014 Peter Louce, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee.
Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (kushoto) na mgeni rasmi Eng. Prisca Mkama, wakipozi kwa picha na mshindi Anna Mzori.
Gilbert Ndenga (katikati) akipozi kwa picha na Mkurugenzi Mkuu wa Toyota Tanzania Ltd, Vinod Rustagi, (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee.
Mfanyakazi Bora wa Idara ya Rasilimali watu na Utawala wa mwaka 2014, Robert Maganga (katikati) akipozi kwa picha na Mkurugenzi Mkuu wa Toyota Tanzania Ltd, Vinod Rustagi, (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee.

Mkurugenzi Mkuu, Vinod Rustagi (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee, wakimkabidhi Tuzo, Beatrice.
Ma Mc's wakijiandaa kupagawisha....
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Kutoka (kulia) Mapunda, Maganga na Eliavera, wakishuhudia kilichokuwa kikiendelea jukwaani.
Wafanyakazi hao walianza shughuli yao hiyo kwa dua maalum...
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo, mezani ni magari ya mfano...

Pia wafanyakazi hao walishindana kuvuta kamba kati ya Madereva wa Kampuni na wa spea...., Madereva waliburuzwa hadi gereji wakashikishwa spana....
Mkurugenzi Mkuu, Vinod Rustagi (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota, Mahmood Karimjee wakifurahia shooo.....
Wafanyakazi hao walitoa burudani ya maigizo, (pichani) ni Mkufya na Bi shosti wakiigiza...
Hapa ni Bosi Naniliu akiingilia kati mtafaruku uliojitokeza baina ya mhudumu wa Ofini yake na mteja......
Hapa ni Bosi Naniliu akiingilia kati mtafaruku uliojitokeza baina ya mhudumu wa Ofini yake na mteja....
Mkufya akiendelea kukonga nyoyo za wafanyakazi wenzake...
Wafanyakazi wakifurahia shoo......
Burudani ya ngoma ya asili ya kabila la Wahehe.....
Burudani ya ngoma ya asili ya kabila la Wahehe.....
Msema chochote, Galinoma, akisherehesha huku akifafanua kuhusu moja ya silaha iliyotumika na wahehe kumtwanga Mjerumani enzi za ukoloni..
Hawa ni miongoni mwa washiriki katika kinyang'anyiro hicho cha kuwania tuzo ya mfanyakazi bora, ambapo utaratibu huo wa kuwatunuku na kuwapongeza wafanyakazi bora wa kampuni hiyo ulianza rasmi mwaka 2002, na sasa umetimiza miaka 12.
Fashion Show......

Fashion Show....
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Washiriki wa shoo wakipiga picha ya pamoja....
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika hafla hiyo.
Mgeni rasmi Eng. Prisca Mkama, akizungumza ......
Mjomba akipongezwa wakati akielekea jukwaani kupokea zawadi yake....
Burudani....
Huyu si Aisha Madinda, bali ni mfanyakazi wa Toyota Tanzania, akionyesha umahiri wake wa kunengua wakati wa hafla hiyo...
Baada ya shoo hiyo waliaga kama hivi....
Zawadi kwa wasanii wote walioshiriki kutoa burudani.....
Muda wa maakuli full kujisevia uliwadia.......
Pozi la picha 
Pozi la picha 
Pozi la picha...........
Picha ya pamoja Viongozi na wafanyakazi wa muda mrefu katika kampuni. 
Picha ya pamoja Viongozi na wafanyakazi wastaafu..

No comments:

Post a Comment