Zephania Ubwani kutoka The Citizen (katikati) akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Kilimo na Maliasili Zanzibar Dk. Sira Ubwa Mamboya (kulia) na Kushoto ni Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi, Tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.Picha Zote na Gadiola Emanuel wa Wazalendo 25 Blog -Arusha
Adam Ihucha akizungumza machache na Mkurugenzi wa Meru Community Bank mara baada ya kupokea tuzo zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Kutoka Kulia ni Zephania Ubwania (The Citizen) , Charles Ole Ngereza (The Guardian ) , Adam Ihucha (The East African) na Patty Magubira (The Citizen ) wakifurahia Tuzo zao zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Patty Magubira kutoka The Citizen (kushoto) ,Adam Ihucha Kutoka The East African na Zephania Ubwani kutoka The Citizen wakifurahia Tuzo zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Ramadhani Mvungi Star Tv -Arusha akipongezwa na Waziri Dk. Sira Ubwa na Jacquiline Mkindi mara baada ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Ramadhani Mvungi kutoka Star Tv (katikati) akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Kilimo na
Maliasili Zanzibar Dk. Sira Ubwa Mamboya (kulia) na Kushoto ni
Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi, Tuzo hizo zilizotolewa katika
Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Paul Sarwatt akiwapongeza Waandishi waliochukua tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Adam Ihucha na Paul Sarwatt wakiwa katika Tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Charles Ole Ngereza , Ramadhani Mvungi na Adam Ihucha wapongezana kwa Tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha. Mwingine aliyepata Tuzo kwa TV ni Jamilla Omar kutoka Chanel Ten -Arusha
Mdau wa Blogu ya Wazalendo 25 Blog akifuatilia kwa ukaribu Tuzo za TAHA zilizotolewa katika
Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Ramadhani Mvungi, Adam Ihucha na Zephania Ubwani wakitahmini Tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Mpiga Picha wa Mwananchi akizungumza na Adam Ihucha mara baada ya kupokea tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Zephania Ubwani na Adam Ihucha Wakipongezana kwa Tuzo hizo
Adam Ihucha (The East African ) akipokea tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Waandishi waandamizi wakisubiria tuzo za TAHA zilitolewa katika
Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Wageni waalikwa waliohudhuria katika sherehe za utoaji wa tuzo za TAHA kwa waandishi wa Habari
Charles Ole Ngereza kutoka gazeti la The Guardian akisubiria kupewa tuzo kutoka TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.Picha zote na Gadiola Emanuel wa Wazalendo 25 Blog
Adam Ihucha akizungumza machache na Mkurugenzi wa Meru Community Bank mara baada ya kupokea tuzo zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Kutoka Kulia ni Zephania Ubwania (The Citizen) , Charles Ole Ngereza (The Guardian ) , Adam Ihucha (The East African) na Patty Magubira (The Citizen ) wakifurahia Tuzo zao zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Patty Magubira kutoka The Citizen (kushoto) ,Adam Ihucha Kutoka The East African na Zephania Ubwani kutoka The Citizen wakifurahia Tuzo zilizotolewa na TAHA katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Ramadhani Mvungi Star Tv -Arusha akipongezwa na Waziri Dk. Sira Ubwa na Jacquiline Mkindi mara baada ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Ramadhani Mvungi akipata mlo uliondaliwa katika sherehe za tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha. |
Paul Sarwatt akiwapongeza Waandishi waliochukua tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Adam Ihucha na Paul Sarwatt wakiwa katika Tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Charles Ole Ngereza , Ramadhani Mvungi na Adam Ihucha wapongezana kwa Tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha. Mwingine aliyepata Tuzo kwa TV ni Jamilla Omar kutoka Chanel Ten -Arusha
Joseph Ngilisho akimpongeza Zephania Ubwani mara baada ya kupokea tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha. |
Ramadhani Mvungi, Adam Ihucha na Zephania Ubwani wakitahmini Tuzo hizo zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Mpiga Picha wa Mwananchi akizungumza na Adam Ihucha mara baada ya kupokea tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Zephania Ubwani na Adam Ihucha Wakipongezana kwa Tuzo hizo
Adam Ihucha (The East African ) akipokea tuzo za TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.
Patty Magubira akipokea tuzo za TAHA zilitolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha. |
Wageni waalikwa waliohudhuria katika sherehe za utoaji wa tuzo za TAHA kwa waandishi wa Habari
Charles Ole Ngereza kutoka gazeti la The Guardian akisubiria kupewa tuzo kutoka TAHA zilizotolewa katika Hoteli ya Mount Meru, Jijini Arusha.Picha zote na Gadiola Emanuel wa Wazalendo 25 Blog
No comments:
Post a Comment