PICHA ZA KUVUTIA :KATIKA USIKU WA UNIVERSAL CHANNEL (MULTICHOICE AFRICA EXTRAVAGANZA) NCHINI MAURITIUS - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 26 June 2014

PICHA ZA KUVUTIA :KATIKA USIKU WA UNIVERSAL CHANNEL (MULTICHOICE AFRICA EXTRAVAGANZA) NCHINI MAURITIUS

 Wadau kutoka nchi mbali mbali barani Afrika wakiwa kwenye tafrija maalum ya Universal Channel inayoonyeshwa kwenye DStV ikiwa ni sehemu ya uonyeshaji wa kazi mbali mbali za MultiChoice Africa.
 MC wa Kimataifa ambaye pia ni Muongozaji wa Mashindano ya Big Brother Africa, IK Osakioduwa akiongoza shughuli hiyo iliyofanyika jana usiku kwenye Hoteli yenye hadhi ya Kimataifa ya Trou Aux Biches,nchini Mauritius. 

IK akifanya mahojiano na waigizaji wa moja ya filamu zinazoonyeshwa na kituo cha Telemundo.

Meneja Mahusiani na Mawasiliano na MultiChoice Tanzania,Barbara Hassan (kulia) akiwa na Waandishi wa Habari wa Tanzania wakati wa tafrija ya Universal Channel inayoonyeshwa kwenye DStV ikiwa ni sehemu ya uonyeshaji wa kazi mbali mbali za MultiChoice Africa.Toka kushoto ni Sidi Mgumia (Mtanzania),Barbara Hassan (Clouds FM),Esther Mngodo (Mwananchi) na Malio Njedengwa (TBC).
 Wadau wakiwa kwenye tafrija hiyo







 





Othman Michuzi akipata ukodak




Mtangazaji wa Clouds fm Barbara Hassan akipa picha na mdau
Mpiga Picha Hizi; Othman Michuzi akipata picha na mdau wa Filamu
Othman Michuzi na Mikonozzzzz
 
Picha Zote na OTHMAN MICHUZI wa Mtaa Kwa Mtaa Blog- Mauritius

No comments:

Post a Comment