![]() |
| Kituo cha ITV kitakuwa kinarusha vipindi vya TANZANIA MOVIE TALENTS kuanzia Jumamosi ya Mei 17,2014 ,Vipindi hivyo vinaibua vipaji vya uigizaji na uchekeshaji Tanzania nzimakupitia kampuni ya PROIN PROMOTIONS, kwenye mchaato wa kusaka vipaji hivyo yuko LULU, JOTI , MC PiliPili na wengine. |
POLISI NGARA WAWAFIKIA WATOTO YATIMA KUPITIA VITUO VYA MALEZI
-
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera, limeendelea kuwafikia
wananchi na makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii kwa lengo la
kuimarisha ...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment