Habari
zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa Waziri wa
Fedha, Dkt. William Mgimwa amefariki dunia huko nchini
Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa katika Hospitali ya Mediclinic
Kloff.
Habari
zaidi kuhusu msiba huu zitawajia kadri zitakavyokuwa zikipatikana. Mungu
ilaze roho ya marehemu, Dkt. Mgimwa mahala pema , Amina.
No comments:
Post a Comment