Vifijo na nderemo baada ya uzinduzi huo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita
10.1 inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi
njia panda ya kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa
JWTZ Mbezi Beach. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment