UCHAGUZI KENYA :WILLIAM RUTO KATIKA KAMPENI ZAKE. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Feb 2013

UCHAGUZI KENYA :WILLIAM RUTO KATIKA KAMPENI ZAKE.


Umati wa watu waliojitokeza kumsikiliza Bw. William Ruto na Wenzake katika kampani za urais wa Kenya,  katika maeneo ya  Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
William Somoe Ruto akiongea na wananchi waliojitokeza kumsikiliza katika kampani zake za urais wa Kenya  katika maeneo ya  Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
William Somoe Ruto akinadi sera zake kwa wananchi waliojitokeza kumsikiliza katika kampani zake za urais wa Kenya  katika maeneo ya  Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
Wananchi waliotoka kumsikiliza Bw. William Ruto katika kampani zake za urais wa Kenya  katika maeneo ya  Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad