Michezo : Timu ya Yanga Yabeba Kombe la 'TOYOTA CUP 2024' Huko Afrika Kusini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

29 Jul 2024

Michezo : Timu ya Yanga Yabeba Kombe la 'TOYOTA CUP 2024' Huko Afrika Kusini

NA EMMANUEL MBATILO


KLABU ya Yanga imefanikiwa kubeba Kombe la TOYOTA nchini Afrika Kusini ambapo Yanga walialikwa kucheza na timu ya Kaizer Chiefs.

Yanga Sc imefanikiwa kubeba kombe hilo mara baada ya kuifunga Kaizer Chiefs mabao 4-0 kwenye mchezo huo.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Aziz Ki ambaye amefunga mabao mawili, Mzize pamoja na Prince Dube.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633