Michezo : Taswira Mbalimbali katika Sherehe za Simba Day 2017, Uwanja wa Taifa Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Aug 2017

Michezo : Taswira Mbalimbali katika Sherehe za Simba Day 2017, Uwanja wa Taifa Jijini DarKikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.

Kikosi cha Simba.
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali.Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la ‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo ndiyo huitimisha kila kitu.Post Top Ad