Matukio : Taswira mbali mbali ya baadhi ya Wanafunzi waliokuja kuaga miili ya Wanafunzi wenzao wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 May 2017

Matukio : Taswira mbali mbali ya baadhi ya Wanafunzi waliokuja kuaga miili ya Wanafunzi wenzao wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent, Jijini Arusha



Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakionyesha nyuso za huzuni.

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, Akilia kwa Uchungu.


Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakionyesha nyuso za Huzuni

Majeneza yaliobeba Miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha.



Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha,wakilia kwa uchungu.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakilia kwa Huzuni

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakilia kwa uchungu.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakilia kwa simanzi kubwa.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakiomboleza.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakiangalia kwa masikitiko makubwa kwa kuondokewa na wenzao.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha, wakilia kwa uchungu.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha Wakiomboleza kwa uchungu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha wakiwa na nyuso za huzuni.

Wanafunzi wa shule za jirani wakiomboleza kwa uchungu kwa kuondokewa na wanafunzi wenzao wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha.
Mwanafunzi wa shule ya jirani akilia kwa uchungu














Picha Zote na Gadiola Emanuel, Arusha.0755 643 633

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad