Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


6 May 2017

Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha

Polisi yathibitisha wanafunzi 31 kufariki katika ajali Arusha

Kamanda wa Polisi, mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema zaidi ya wanafunzi 31 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent - Arusha na walimu 4 wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, ulipo mto Mlera. Wanafunzi hao walikuwa wanasafiri kwa ajili ya mtihani wa kujipima na Shule ya Jirani ya Tumaini Junior Academy iliopo wiliyani Karatu , ndipo Umauti huo ulivyowapata.

Mungu aendelee kuwafariji Wazazi, Walimu na Watanzania Wote kwa Ujumla . Bwana Alitoa ,na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.

Wakati huo huo Rais Magufuli ametoa Salamu za rambirambi .
Basi lililopata Ajali likionekana Lilipodumbykia mtaroni kwa sababu ya Mvua kubwa na Utelezi Barabarani.
Baadhi ya majina ya Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Lucky Vincent Arusha Waliofariki Leo , 06:05:2017 Karatu Mkoani Arusha.
Majina ya Wanafunzi waliofariki kwa Ajali.
Rais Magufuli atoa Salamu za Rambirambi Leo.
Jengo la Shule ya Lucky Vincent , na Wazazi wa Wanafunzi , Wananchi waliofika shuleni Hapo.
Muonekano wa Gari lililopata Ajali, Samahani kwa Picha Hizo.

Post Top Ad